Sunday, 2 June 2013

Diamond-Suffering For Success..Alafu Mseme Nawaloga


Diamond Platnumz Posted this Picture Today on his facebook wall and wrote " Suffering For Success..Alafu Mseme Nawaloga"
 To me honest i like they way how this dude perform his shows kuanzia kuimba na hata anavyocheza na dancers wake ambao wote ni wanaume....Jamaa amejipanga sana sijaona msanii yoyote wa bongo flava aliye jipanga kama huyu......Nikilinganisha na wasanii wengine ambao wakipanda jukwaani hakuna jipya zaidi ya kuimba na kucheza kidogo.....

Sikubaliani kabisa na wale wanao sema diamond analoga...Kazi yake inaonesha dogo kajipanga...Wengine wataendelea kusubiri sana...

No comments:

Post a Comment