Sunday, 2 June 2013

Chidi Benz azungumza kilio chake, ‘natoa ngoma hazigongwi,no shows’

Leo hit-maker huyo wa Dar Standup amewasilisha kilio chake kupitia Twitter kama ifuatavyo:

Wasanii wengi waoga kutokana na hali halisi ya maisha waliyotoka,sio wa kuchekwa.wasanii wengi wanafiki koz hawajiamini kiuwezo binafsi.

Redio zina wasanii wanaowashikilia,Redio sio yako so eiza jiunge nao au achana nao.wengi sio wakali wanatengenezwa na wanahitaji hilo.Njaa

Natoa ngoma hazigongwi,no shwz,hakuna chcht but utaskia kapigana mgomvi habadiliki,mimi ambae nimefanya kazi na wasanii woote?nawapigaje?

Mimi ni msanii wa kwanza kukusanya wasanii wengi sehem moja,tulikua na nguvu na naenda nao kokote.wadau wakaogopa wanajua nina uwezo.wanajua

No comments:

Post a Comment